‼️FOOD FOR THOUGHT‼️
Video 1 👉🏽 Youth carrying their friend who was shot, vow that they will not stop and “we are coming for you, Samia”
Video 2 - the burial of one of the Gen Z getting a heroic farewell and burial in Mbeya
So what is next for #Tanzania and in particular Tanganyika, you think?
Kwa mwendo huu tujadili mnafikiri nini kinafuata baada ya kuangalia video hizi mbili? Watanganyika watarudi waufyate? Ama!?
Vipi kuhusu Muungano baada ya rais kutoka Zanzibar kuua maelfu kutoka Tanganyika alafu badala hata akubali au atoe pole anazidi kuweka chumvi kwenye kidonda na mzanzibari Johari na mzanzibari Kombo na kututishia na kuendelea kuteka na kutupa miili ya waliouwawa wengine wamepigww risasu wakiwa sebuleni!
Hivi kuna mtu hata mmoja amebaki na akili kidogo tu huko ndani?
Eniwei #TutaelewanaTu
#TanzaniaMassacre #SaveTanzania #SamiaMustGo