Nilitaka niseme mbona kama GEN-Z wamempoza BAD atoe ngoma atapata Views kweli? kuna jamaa akaniambia Tony jipe muda hadi jioni baada ya THE THRONE kuisha kimbia tena YouTube kachungulie tena Views utaona mapokezi ya GEN-Z kwa Mziki mzuri coz watu wanataka muziki sio maneno Tony
Kuna jamaa aliniambia "Oi Tony pale youtube kuna vita kali Sana ya Namba kati ya NAIROBI ya Marioo na PAWA ya Mbosso. Video ya NAIROBI ina Miezi 11,Views 44m na ina Trend namba 23 Top music,PAWA ina Miezi 5,Views 51 na ina Trend namba 7 Top Music video" Hii inakwambia nini?
Kuna Bloo ananiambia "Tony Kila nikijaribu ku-Scan wasanii nagundua wanataka sana MARIDHIANO na GEN-Z ila tatizo lao ni moja tu, wanahisi wakija Front kuwaangukia mashabiki zao kwa msamaha watashusha Brand zao wanasahau kama SHABIKI akiamua anaweza kubadili BRAND ikawa BRANDA!
Najaribu ku Scan kwa makini sana kumtafuta msanii wa Bongo ambaye ni Copy and Paste ya 50 CENT ๐ค Sanii flani hivi kwanza hela ipo afu alishafanya na bado anafanya vizuri kwenye Sanaa yake kiasi kwamba huwezi mwambia lolote. Ukiachana na TAITA ambaye mimi nime Mscan Hu elzi? ๐
Kuna time unaweza kusema NORAH FATEH amempeleka sana Rayvanny Dunia kwa mafanikio makubwa waliyoyapata kwenye PEPETA & OH MAMA TETEMA lakini ukikumbuka kwamba alianza kuchukua BET peke yake bila kolabo na NORA unagundua tu RAYVANNY WAS BORN TO SHINE INTERNATIONAL NO MARA WA!
NAKO 2 NAKO IS BACK๐ฅKaa chini isikilize vizuri UWIII ngoma mpya ya WANAKO kuna burudani &meseji flani ambayo wameamua kuiwasilisha kwa njia ya kiRasta sana hadi uwe na D8 kuwaelewa.Nimefurahi zaidi kuwaona FIDO VATO &LORD EYEZ kwenye ngoma ya pamoja ila nashangaa G nako hayupo.
Kuna jamaa aliniambia "Tony Wallah natamani sana msimu wa kina professor Jay kwenye Bongo Flava maana ilikua ndio Edutainment yenyewe (burudani na elimu) AT ONCE" Nikaona niulize ni kipindi au msimu gani wa Bongo Flava unaukumbuka zaidi katika historia ya muziki wa Tanzania?
Ni vile tu mafanikio anayoyapata mwanetu JUX kimuziki kwasasa yamekutana na hili pepo baya la mashabiki na wasanii๐ข ila niamimi Mimi kwa Mabalaa anayowafanyia waNigeria kwenye Soko lao la muziki sasahivi ๐ni noma, Kama naiona Dec 18 kwenye show yake binafsi NIGERIA itakuaje ๐ฅ
Tanzania tunaondoka sasahivi,Imagine DJ D OMMY kapiga Tour ya Marekani kwa miezi miwili Back To Back na kila sehemu aliyoenda aliondoka na nyomi na anacheza ngoma zetu za TZ. Kitaalamu ni kwamba JITU anaendelea ku set standard ya juu Sana kwa DJ'S wa Tanzania ๐๐
Kwa taarifa nilizozipata muda huu naambiwa leo KING anaachia ngoma mpya kabla ya siku haijaisha NO PROMO NO TEASER ๐ค jiandaeni kusikiliza ngoma mpya ya ALIKIBA jioni ya leo na naambiwa DAVIDO kaipenda Sanaa hasa beat lake, tukutane saa kumi jioni THE THRONE ya 92.1
Niliambiwa hivi "Tony kama watu wanaamini PAWA ni wimbo mkali zaidi kutoka kwa MBOSSO basi kawaambie hawajasikia kitu bado, kwasababu ngoma ya MBOSSO inayofwata ni zaidi ya PAWA na Hit Songs zake zote unazozijua wewe na kama huamini subiri 2026 utaona"
Kuna jamaa ananiambia hapa Tony nadhani huu ni wakati sahihi wa BIG kuachia ile ngoma yake na DAVIDO itaenda Sanaa, nikamuuliza kwanini? akaniambia kwani wewe huoni UPEPO.
Kuna Broo mmoja mkubwa sana kwenye BONGO FLAVA nakumbuka aliniambia Tony naomba yatunze maneno yangu MARIOO anaenda kua msanii namba moja Tanzania baada ya MFALME na BIG itakua ni MARIOO. Sijajua Bro ameona nini kwa BAD.
WASANII acheni dharau kwa mashabiki zenu sio vizuri itawakosti BIG TIME kwasababu msanii si chochote si lolote bila shabiki. Enewei nitarudi baadae kuwaambia kwanini WASANII hawatakiw kuwavimbia mashabiki zao.
MIMI SIO HANSI RAFAEL WALA SIO JEMEDARI BIN KAZUMARI ILA KWA JINSI SIMBA WALIVYOCHEZA LEO ๐๐๐ TUKITOBOA HATUA YA MAKUNDI MSIMU HUU NITAAMINI UCHAWI UPO. MAANA MPANZU HUYU HAFANANI KABISA NA YULE WA STORI ZA WACHAMBUZI WAKATI AMEKUJA TZ. ๐ญ