PW hivi karibuni wame improve sana kwenye upande wa ratiba na ndege zao nyingi huondoka ontime.
Wanajitaidi sana kutoa taarifa kwa umma kama kuna changamoto yeyote ya operation
Ukimsikiliza Pastor Tony, Mwalimu Mwakasege, Apostle Mwamposa, Mch. Masanja, Mwl. Dkt Ellie V.D, Pastor Joel Osteen
Utagundua kila mmoja ana namna yake ya kupeleka habari njema.
Kitu cha msingi ni kila mtu asimame kwenye nafasi yake ili kuujenga mwili wa kristo
Ukiskiliza injili za wainjilisti kama
Rose Muhando
Paul Clement
Ambwene Mwasongwe
Beatrice & Neema Mwaipaja
Angel Bernard
Jeniffer Mgendi
Essence of Worship
Fanuel Sedekia
Unapata shida sana kukubali kama Joel Lwaga nae anaimba nyimbo za injili.
#HereWeGO
TOYOTA IST COMPACT SUV 🔥
Year 2005
Engine type 2NZ-FE
Engine Capacity 1290cc
Fuel ⛽️ Petrol
Mileage 79578km
Automatic Trans
FEATURES
Silver Metallic
Sport Rims
New Tyres
Android Radio
Super Clean Condition
PRICE TSH 14.8M
☎️0786 518866
KINDLY REPOST 🙏
Tundu Lissu "Kama mnanifanyia hivi mimi mjuzi wa Sheria, mmeniweka gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo."
"Vipi kuhusu Watanzania wasiojua Sheria?" 😭
So pain 😭😭
Kila kitu kinahitajika ufanye kwa kiasi. Mfano kula, ukila chakula kupita kiasi utaitwa ‘mlafi’, Pia hata kwenye kunywa inabidi unywe kwa kiasi
Changamoto tamaduni zetu zime normalize ishu ya kunywa kwamba unatakiwa ulewe
@gabyconscious Wewe ndio ushangae kitabu cha Mungu kimejaa logical fallacy na contradiction.
Huku unaambiwa unywe kule unaambiwa usinywe. Mara kunywa usilewe. Tangu lini unywe usilewe!
Focus yangu Iko kwenye Hizo contradiction
Hua wanasema “Hakuna negative publicity” asa why usikae kimya kwanini unafungua kinywa kumpa mtu mileage.
Focus on your own agenda kua consistency katika kitu unachotaka.
Ukiniuliza mimi, nitakwambia game ya chadema vs wanaharakati iko so tricky and kind’f complicated.
Kuna mmoja hapo anakuwa driven na hisia kuliko uhalisia wa siasa.
Chadema ni chama cha siasa, lengo lake kuu ni kushika dola, agenda yake kuu ni kupinga,kukosoa na kushauri serikali (chama tawala)
Kwenye hizo agenda kuu sasa ndo kuna tricky hapo, chadema inampasa kujiuza kwa wapiga kura kwa kuwaambia kuwa sisi hatuko hivo kama wao watawala na tukishika dola hatutayafanya haya na yale wanayofanya hawa watawala!!
Hatutaua, kwaio inabidi wasiue hata sasa.
Hatutaiba, inabidi wasiibe hata sasa.
Hatutafurahia tukiona binadamu amekufa au ameuliwa hata akiwa ni adui!! Na inabidi waanze kuonyesha hayo sasa.
Adui akifa au akifiwa tutaenda kuzika na tutaenda kuhani msibani!!
Yote haya ni ili chadema asionekane yeye naye ni roho mbaya tu kama alioko kwenye kiti!!
Kwahiyo chadema unakuta ana jukumu la kumpenda hadi adui ili kuonyesha watu kuwa sisi hatuko hivyo.
Otherwise mpiga kura ataona aaah mtawala wa sasa ni mkatili, lakini mbona hata huyu chadema nayeye anaonekana ni mkatili kabla hata hajashika dola!!🤔 Huyu akishika dola si ndio atakuwa katili zaidi ya wa sasa!!
Finally mtu anaamua bora shetani wa zamani niliemzoea kuliko shetani mpya!!
But kwa wanaharakati sasa ni tofauti…. hisia zinawapush wawe na mentality ya ngadu kwa ngadu,
🦷 kwa 🦷, mwaga bapa namwaga kichanganyio!!
Anayekuua na kukuteka na kukutesa, siku nayeye akifa angusha party kihomeboy shangilia!!
Its very complicated hii game!!
Ndo yale yale nasemaga, kama unamkosoa kiongozi wa chadema kwenye comment then akakublock means huyo siku akiwa tu DC ukakosoa anakutia ndichi masaa 72!!
Ni lazima anayempinga mtawala asiwe na characters za mtawala!!
Sijui kama niko sahihi au nimeamka na wenge!!
Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo.
Mamlaka ilikuwa muhimu kwake vs our collective good.
Leo ni victim wa mfumo alioulea, hana hakika na usalama wake.
A good road is good for all of us!
Kwa sababu leo ni sikukuu ya nane nane, tuongelee opportunities zilizomo kwenye industry.
Nenda kijijini. Kiwe kinalima alizeti au mahindi.
Nunua eneo. Robo heka intosha.
Jenga ghala. La gunia 2500 linafaa kabisa.
Andaa 12 million ya kununua mazao.