Watu hunifurahisha,lakini bado wananishangaza,ni hii watu ya bangi. Mtu wa bangi unajua unaeza mtoa kakamega umlete nairobi,lakini baada ya siku mbili atakua ameshaajua mahali ya kununua bangi. Na sisi wenye hatuvurutangi tunaezamaliza ata miaka kumi hatujai jua mahali bangi inauzwo. Its like these people have a radio frequency they use to locate each other.
Na ata hawatumiangi nguvu mingi,nina jamaa wangu wakati nilihost yeye mlolongo ,tulienda kununua mboga siku moja tukirudi akaniuliza “Na unajua huyo mama anaunza gode pia?” Nikamuuliza amajuaje,akaniambia ati ameona kitu ingine inaitwa rizzla chini ya beseni ya kabej bwana. I had known that woman for two years. Eih! Hii watu ya bangi tunafaa tukamate tuweke wao kule North eastern,tuone kama angalau wanawesa nusa alsabaab. Hii watu unajua wameshinda ata German shepherd bwana.
Lastly, maze usigongwe! Hii town imejaa wajanja. Ukitaka appointment kuja HQ upatane na leadership pitia kwa Executive Director atakupanga. Tuko organized mbaya kila kitu kwa mpango.
These are the official contacts for all members/ aspirants that need appointments to visit the National Secretariat.
ED Phone 0799 110 000
Email: [email protected]
I’m either high, getting high, coming down from being high, getting ready to get high, sleeping off a high, or thinking about not wanting to stop being high .
RIGATHI GACHAGUA: Mtaamka mapema?
WAKAMBA: Eeeeee!
RIGATHI GACHAGUA: Kumfukuza Kasongo?
WAKAMBA: Eee!
RIGATHI GACHAGUA: Saa ngapi?
WAKAMBA: Saa kumi na moja!
RIGATHI GACHAGUA: Ati saa kumi na moja? Hii kijana akamatwe!
WAKAMBA: 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
RIGATHI GACHAGUA: Ati saa kumi na moja? Wewe Wakamba, msilete mchezo! Kasongo hawezi kufutwa saa kumi na moja. Huyu ni mtu mbaya. Saa ya kumfukuza Kasongo ni saa saba usiku!
WAKAMBA: Yoooooh noooooooooo! 😂😂😂😂😂😂
RIGATHI GACHAGUA: Haraaaaaambe...!
WAKAMBA: WANTAAAAAM! 😂😂
One overlooked part of cannabis education is understanding the difference between habit and choice. When something becomes part of your everyday routine, you might stop questioning why you're doing it Being educated means occasionally stepping back, examining your relationship with cannabis and being honest about whether your habits still serve you
@KenOchoka79720 Buana the jobs are limited,after campus sasa heri ukae home na hio skill yako,zero overhead costs,peace of mind ni 200%, hapa taon ,kama hujalipa rent caretaker hukua kila mahali,mara unamuona moi avenue,ukitoka stock gikosh unamuona akipanguzwa sport shoes hapo,no peace
@Mavullugu412136@DrBKhalwale Wa luhya hatukosangi fom😂 ,lazima tuko mahali,sato ni mazishi,sunday ni church na chama,monday to friday ni salamu pale west fm ,august ni kuminya,december ni shereh3 ya kualukha,january tunaenda nairobi ,😂