@Roma_Mkatoliki Maridhiano ya maalum seif na ccm Zanzibar hdii Leo hayana matumaini ACT htaa diwani hawana ungujaa wamepewa kura laki kadhaa imeishaa mm si muumini wa hyoo Mambo
@NjengeYahya Mm nahis kajikoseshaa kwa sbb yy hapend Mambo ya kiswahili walichofanya kocha wa Senegal kulitia aibu bara la Afrika ule akaufanye Tena world cup ataona Cha moto
@mshambuliaji Vizuri tunafuta CHAN tunaondosha MICHEZO ya kirafiki km UEFA tunakuwa na Afcon kila baada ya miaka 4 halaf tunazisha mashindano ya AFRICA LEAGUE OF NATION MFUMO WA knockout au makundii kuondosha MICHEZO ya kirafiki
@ayubu_madenge Huku ichezwee UERO kule Afcon kule Copa America ndio tufananishee sio huku Afcon huku Kuna gemu ya man city na man U Afcon inapoteza heshima msimu wa ligi time will change twende na mudaa ss
@privaldinho Timu imefkaa world cup semi final na timu ambazo htaa kufuzu kwa kususua muzifananishee na morroco htaa CHAN wamebeba na hili wanabeba la 2027 wanabeba tenaa