Muheza stand up ๐๐ป๐๐ป๐๐ป Hongera @MwanaFA Allah akupe afya njema na akili nyingi ili utimize ndoto zako za kuifanya Muheza kuwa juu zaidi kimaendeleo #JamesBond#WaMuheza
Kijana Wa Kiume Siku1 Ukipata Muda Hebu Weka Gari Mafuta Then Endesha Mpaka Mkoani #Manyara, Nenda #Mbulu Kaa Siku1, Kisha Nenda #Hanang Kaa Siku2,Malizia #Babati Kaa kama Siku3.Wakati Wa Kurudi Pitia #Karatu Kaa Siku 1
#NB
-Usiende Na Wife
-Hakikisha Una Pesa
Thank Me L8r