๐ Afrika yapoteza mabilioni kwa sababu moja tu
Fikiria hili: wakati mwingine ni rahisi kuuza bidhaa Ulaya au Asia kuliko nchi jirani ndani ya bara.
๐ซ Vizuizi vya biashara vinavyoendelea kuwepo vinaigharimu Afrika mabilioni ya dola kila mwaka na kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi.
๐ฝ๏ธ Je, chanzo ni nini? Tazama video kujua ๐
๐ ๐ Si ukosefu wa rasilimali, bali hofu ndiyo inayokwamisha Afrika kufanya mageuzi ya elimu - Mwalimu kutoka Tanzania ameiambia Sputnik Afrika.
Ili kujikwamua, ni jukumu la serikali kutengeneza mazingira rafiki yatakayowapa ujasiri watu wanaolenga kuleta mabadiliko, Abisai Steven Nzali amesema.
Tazama video ili kupata maelezo zaidi ๐
๐น๐ฟ ๐ณ๐ฆ Kwa nini ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia ni muhimu kwa usalama wa SADC sasa hivi? Mchambuzi wa siasa za kimataifa Ibrahim Chawe ameelezea.
๐ฝ๏ธ Tazama video ya Sputnik Afrika ๐
๐น๐ฟ ๐ณ๐ฆ Ziara ya Rais wa Namibia nchini Tanzania: Fahamu maeneo matatu ambayo yataleta fursa kubwa kwa nchi hizo mbili.
Mchambuzi wa siasa za kimataifa Ibrahim Chawe ameelezea katika mahojiano na Sputnik Afrika ๐
Vijana wawili Ibrahim Chawe (Kushoto) na Iman Henrick(Kulia) kutoka Mkoa wa Njombe wamehitimu na kutunukiwa Shahada yao ya awali katika taaluma ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa umma kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
serikali inayoshutumiwa kuuwa watu haipaswi kuwa na nafasi ya kuamua nani achunguze shutuma hizo. tufike mahala tuchukuliane serious kama watu wazima. huu mchakato umekufa kabla ya hata kuanza. hakuna kufunika kombe; mwanaharamu hapiti hapa. lazima akabiliwe. kaeni mkijua hilo!
Nakiri nilikosea, siwezi kujifanya kiziwi, kipofu ikiwa naona na nasikia. Siwezi kusonga mbele wakati safari ni ngumu kutembea siwezi moyo na mwili havifanyi kazi sababu ya maumivu.
Nilikosea, siwezi kurekebisha makosa ila naweza kuanza upya. Naomba radhi wote niliowaangusha.
@ayubu_madenge Alifanya Makusudi kwasababu viongozi wengine waliongea kifaransa na Kireno so alitaka kuwaonesha kuwa mnalaswa kuongea kama Rais wa Liberia!
We just Recorded a New Episode for #TanzaniaToday and we are still unpacking President @SuluhuSamia โs Defining Speech to the Nation. And I tell you this was Yet another Hot Episode that you DO NOT want to Miss. We Discuss the New Dira 2050, and Analyze New Foreign Policy together with Pan African Financial Organizations such AfDB and their Impact to the Economy. Stay Tuned.
Ujasiriamali si njia ya kukwepa na kutoroka ajira, bali ni ahadi ya kupambana kila siku kujenga kitu kinachobeba thamani ya kubwa zaidi.
Usipojua kwa nini unaanza, ni vigumu sana kujua namna ya kusonga mbele.
Kutokufanya uamuzi ni uamuzi pia, na mara nyingi huo ndio una gharama kubwa zaidi.
Maisha hayaachi nafasi wazi. Ukikataa kuchagua, watu wengine au mazingira yatakuchagulia. Na mwisho wake huwa mzito kuliko ulivyotarajia.
Watu wengi hawajali maisha yako kama unavyodhani. Ukifanya maamuzi kwa hofu ya maoni yao, utapoteza maisha yako ukitimiza matarajio yao.
Maisha haya ni mafupi, usiishi kama mgeni kwenye safari yako mwenyewe. Ishi kwa uhuru, kwa ukweli, kwa ajili yako mwenyewe.