@MsigwaGerson Tunaishi katika karne ambayo kila kitu kipo wazi kwasasa kinachoendelea nchi hii hata mtoto huwezi mdanganya
Afu mnafanya mambo ya aibu sana kama hili la kuposti kwenya mtandao ambao mmeufungia
@zoetjesheeftX Aliyekufa ni polisi jamii na mke wake ndo kafa baada yakusikia mume wake kafariki
Polisi kata ndo yuko hospitali
Fatilia vizuri hizo taarifa zako
@Sirajitz1 Maku hainaga makombo
Pia kwasasa hakuna mwanamke wa peke yako na kumkuta bikra ni ngumu sana
Wewe pia wanawake uliotembea nao ni mademu zawatu kwa muda mrefu