@Akankinza @maggy17tz Uyo jamaa akimurudia kwa sababu ya mtoto atajuta maisha yake yote make mwanamke atajua ana mtoto wake ko awezi muacha atamuletea tena wanaume ndani
@Akankinza @maggy17tz Akuna point apa uyo mwanamke karudi kwa sababu ya maisha magumu kama asingepata maisha magumu asingerudi oya we tafta mwanamke mwingine wapo wengi