@Brother_0101 Wazazi wa kichaga wakiongeza kuwafundisha mabinti zao kujali utu na upendo kwa wote(kuacha ubinafsi), watu wote watahamia huko kwenda kuoa, sijakutana na wanawake wenye akili kama wao, very bright and smart women.
@Brother_0101 Kwamba wanapendeza wakisuka kwa nywele zao za asili kuliko wanaposuka na rasta na kwamba wanapendeza wakivaa kwa kujisitiri kuliko wakionyesha Uchi
@heisbixen Halafu pia msaada siyo Biashara ya Mtu na mtu.
Mungu ndiye hulipa, usiache kusaidia kwa sababu ya watu waliosaidia wakitegemea Return kutoka kwa waliowasaidia na kuwa disappointed