Uongozi na Wafanyakazi Wa Ice Fm Radio 99.5MHz Unakutaki Heri Ya Sikukuu ya Christmass
Endelea Kuburudika Kwa Mziki mzuri kupitia Radio Yako
#TupoChimbo https://t.co/YbMP3clScM
Tunaungana na Ndugu zetu @uplandsfm Njombe, Waandishi Wa Habari, Ndugu Jamaa na Marafiki Katika Kipindi Hiki Kigumu cha Kuondokewa na Mpendwa Wetu #MichaelNgilangwa
Pumzika #Michael https://t.co/fOEs5KGRGX
Leo Kwenye Zero Planet 99.5 @icefmtz atakuwepo Live @masai_the_don_ akitambulisha wimbo wake mpya
#HostedBy @gamideetz
#MusicBy @deejay_josee https://t.co/8AbFLPOFtw
Hapo golikipa wetu wa viwango bwa @deovanmgina_ anajisemea hawa vijana wa @kingsfmradio hawanifungi hata moja na kweli akawakazia tukawapiga cha ujirani mwema.
#Ice_Super_Cup2022#UpigweMwingi_Kabiiisa https://t.co/FXriGvCDHK