Unaweza Ukadhani Wanatugombania Sisi ili Kutuongoza!!
Kumbe Wala Hawatugombanii Sisi!!
Wanagombania Mambo Yao Mengineeeeee Kabisaaa!!
Ila Sisi Tunatumika Kama Mtaji!!
Huku Tukijinadi Sisi Ndiyo Sisi Wengine Mafisi!!
Kumbe Sisi Ndiyo Mafisi!!
Nimewaza Tu🤷♂️
@Mzeewajambia Kaka umeumia sana najua andika hivi "huu ndio utofauti wa kipa mkubwa na kipa mdogo" yaan unazungumzia kipa unahitimisha na timu jitahidi uwe unahitimisha kwa ajenda kuu