Nimefanya utafiti wangu nimekuja ku Conclude ya kua, Kwa namna yoyote ile Ndoa haina faida kwa mwanaume . It's just a way of passing his genes to the next generation. Na ukicheza vibaya unaweza ukalea hata watoto sio wako. Ni hilo tu kwa sasa.
Ukianza kujitegemea ndio unaanza kuelewa kuwa waliokuwa wanakupa pesa wakati unasoma; sio kwamba walikuwa na pesa nyingi za kugawa!! Walikuwa wanajinyima baadhi ya mahitaji yao ili wakupe wewe
Mwana Alikuwa Dar Kusaka life,baada ya hustle Nyingi Alipata Homa Akajiuguza kama Wiki Tatu,
Baada ya kuyumba Kwa bajeti akapiga simu Kurudi home Akaugulie,Akiwa Njiani Mwana Roho Ikaacha Mwili,
Kondakta kapiga simu Home ,Now tumekusanyika Hapa Stand kumpokea Mwana,
R.I.P 💔