@kalage_jr@TheRealEkiswaga Blaza kuna watu wamepewa ubongo bure tu bora hata angepewa nyoka, usingempa jibu heavy namna hiyo uelewa wake tu unaonekana ni mdogo
@Eric__Bernard Itafute manzi moja inaitwa Neema alaf uje useme tenah kuhusu watu wa hivi ipo mitaa ya mbezi kibanda cha mkaa mtoto wa marehem mwalim mmoja pale Shabani Robart π₯π₯ππ½