Leo nimepokea taarifa za mwaka wa Fedha 2019/2020 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Nimeagiza kufanyiwa kazi na kuchukuliwa hatua mara moja kwa ushauri na dosari zote zilizoainishwa katika taarifa hizo.