@Arafat__AH Wakati wa uchaguzi uliahidi ya kuwa timu ya wanawake isipo chukua ubigwa uulizwe wewe lakini mwaka wa tatu Sasa upo upo tu , sijui kwanini huwajibishwi kwa kauli zako
@lil_dee06 Hizo akili za kikamanda anajua Kama watakuwa na hofu ndani yao basi utekelezaji wa mbinu za kivita utakuwa mdogo hasa pale wakipewa moja nzito, wanaeeza chora ๐wote๐๐๐
@babalao__ Sasa happy hujaelewa nini, kiujumla ni kuanza mpango mpya na kuukamilisha Kisha kuuangusha mpango wa zamani, lengo kuto kusimamisha shughuli