“Alivyoingia motoni hakuwakuta marafiki zake aliokuwa nao wakifanya maasi duniani.
Akasema wapo wapi rafiki zangu?
Akaambiwa wametubu wote kwa ajili ya kifo chako.”
#ReminderJannahGoals5
Huyu mwamba mwaka 1776 may 1 ali azinsha Illuminati na uki soma kitabu cha THE UNSEEN HAND wame elezea kwa upana ila ali taka watu wasi jue kuhusu Illuminati ndio aka sema may 1 ita kuwa siku ya wafanyakazi duniani