Mtoto wa umri huu kumuozesha ni kosa la jinai tupinge ukatili wa aina hii kwa kutoa taarifa kwenye uongozi,
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpatnership
#kwimba
Uwindaji wa watoto ni kosa la jinai toa taarifa kwa uongozi pindi utakapo kumbana na ukatili huu
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpatnership
#kwimba@agpahi
Tusiwafanyie vitendo vya ukatili watoto wetu kwa kuwachoma moto ni mathara makubwa tunawasababishia,tuwapatie Haki zao,
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpatnership
#kwimba
Tuwalinde watoto dhidi ya vichochezi vya utamaduni haswa katika suala Zima la ndoa katika mazingira,
#zuiaukatilikwawatoto@TIPOfficial__
@tanzaniainterfaithpatnership
#kwimba
Humkosesha mtoto malengo yake aliyojiwekea hivyo ni jukumu la Kila mtu kupambana dhidi ya ukatili kwa watoto
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpatnership