@BarakaMaviatu Buying power ndio muhimu...
Minimum wage wanalipwa had $7/saa. Proffesion nurse $15-$25 -- kuipata $100 kazi ya siku ~2 fulani
Litre 90+ za mafuta petroleum (gasoline)
91 litres za maziwa.
42 cartons za mayai.
25 kilo za mkate mweupe.
7.3 kilo za nyama
Hakuna Mtu aliyechelewa maisha wala hakuna Mtu aliyewahi maisha, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora, Cha msingi ni kupeana heshima na kupeana moyo ikiwezekana kushikana mkono.