@gabyconscious@Herfeedh1 Sasa Gaby Hadi ugale unakua umekunywa Kama Lita nne iviii had kumaliza Lita nne peke ako ni ngum sanaa
Inshort hio no damu ya miti
Nitanunua nguruwe 25 @ 200,000 = 5M
Chakula cha miezi 7 = 4M
Nitajenga banda = 600k
Dawa = 400,000
Baada ya miezi 7/8 nauza kila mmoja sh 800,000.
800,000 × 20 =16M.
Hapo nabakiza nguruwe 5 kwa ajiri ya kuzaa nguruwe 40+ hivi ambao nikiwauza kwa 200k napata 8M nyingine
@The_PR0F3S0R Mama alikuaga ananisema Sanaa had nkakonda sku nkapata payout nkampa Kama $700 nikasema mi kazi hii hii ya bangi ambayo ulisema hatulipwi sahiz akikuona umekaa hauna Kaz anakwambia kwani Leo hufanyi kazi auuu
Matajiri wa kusini watakushangaza sana.
1.Hawapendezi (hawajipendi)
2.Simu zao wengi vitochi.
3.Sio watu wa magari ya kifahari.
4.Wanaenda kula sehemu za kawaida.
5.Sio watu wa majigambo.
Kiufupi wapo low key kupitiliza unashangaa ana scania 10 anatembelea CARINA.
Leo nigusie crypto kwa juu
(Ila kama umesoma cuba utanielewa)
Soon tutawitness supercycle(ni nini?)
Tumetoka kwenye msimu wa miaka minne..
Here is why..
Zamani ilikuwa ikitokea halving
BTC inflation inapungua.. then bei inapanda sana..
Na hizo enzi, retailers yani sisi ndio tulikuwa tuna mchango mkubwa bei kupanda na kushuka..
Ili unielewe.. ilikuwa ikitokea halving, bitcoin inflation inashuka from 25% to 12.5%..
So effect ya hio kwenye bei ya btc ilikuwa kubwa..
As of late... btc inflation unakuta inatoka 1.8% approx to 0.8% approx ...
So muda unavyozidi kuenda hii effect ya halving inakuwa ndogo sana kutosha kurusha price parefu sana..
Sasa on top of that... sasahivi imerasimishwa.. kuna hadi ETFs(ni nini google)..
Unaambiwa almost 145,000BTC zilinunuliwa kwenye hio hence inapunguza ile panic and greed ya retailers inayoleta mihemuko ya price..
Sasa, UKISIKIA SUPERCYCLE maana yake ni hii...
BTC itakuwa haina deep retracements kama zamani (unakuta inapanda from 100$ to 20,000$ then inashuka 85%)..
Kwenye supercycle hio haipo..
SUPERCYCLE bei haipandi kwa mihemuko sanaaa kama zamani..(ila itapanda)
Ila pia haitakuwa na deep retracements..
Sasahivi factors zinazoiaffevt BTC ni same things kama s&p500 na equities na huko..
(Jana niligusia mambo haya nilivyoelezea kuhusu kupanda bei kwa gold na mambo ya market cap..ukilink na hapa utaelewa)
So kama ambavyo gold imebuy mwaka mzima mwaka jana, same things will be seen kwa GOLD..
But opportunities za KUTOKA MAGETONI .. zitakuwepo kwenye altcoins..
Altcoins zitakazofanya vizuri sana ni zipi.?
Ni zile zilizo alligned na supercycle narrative ya sasa(ambayo ni ipi?)
Cycle narrative ya sasahivi ni real-world assets na ETF..
So altcoin ikicheza humo, basi ina possibilities nzuri sana sana sana..
Hapa naongelea Solana, Ethereum, chainlink..
July2025 marekani huko mamlaka waliapprove ETF ya solana(hii inamaanisha nini)
Kuwa maretirement platforms, funds na structured products zinaweza kununua solana..
(Altcoins zinazoallign na institutionalization zinaallign na supercycle narratives)
Too long didn't read..?
You have to.!
✍️Yours Truly
$1,000 Trading Account
Risk per trade: $50 (5%)
Reward per trade: $100 (1:2 RR)
Lot size (depends on SL):
25 pips 0.20 lot
50 pips = 0.10 lot
100 pips = 0.05 lot
20 Trades Example:
Lose 10 trades = –$500
Win 10 trades = +$1,000
Net Result = +$500
Total Amount= +$1500
You don’t need more wins.
You need better risk control.
Instead of depression or anxiety... you should be thankful that you were chosen to live in these last days to see it all come to pass.
What a privilege and honor to see what the prophets longed to see but didn't.
Thank you Lord Jesus!
If you think trading is easy, I am sorry, but today I will break your myth. 💔
The Reality:• Dropped out 4 years ago. • Went all in. • Current Bank Balance: Down to the last 10k.
I have no shame in hiding this. I have no links to sell you. I am giving you the hard truth: You can do everything right follow rules, manage risk, no overtrading and still lose.
If you are here solely for money, leave now. It will take you 2-3 years just to scratch the surface. Trading will suck your soul out. No parties. No social life. Extreme fear about your future.
Don't let the influencers fool you. 95% of them are lying. They live on affiliate money and demo accounts. They lure you in with "easy money" dreams while I am here telling you the nightmare reality.
Why do I still do it? Because charts are my life. I don't trade for money anymore; I trade because I love the candles. That obsession is the only reason I survived this long. Trading is simple. But it is NOT easy. 📉