Wahenga waliposema "Mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa", walikuwa sawa. Mungu anaipenda sana hii nchi na anampenda sana Rais wetu, taratibu maji na mafuta vinaaza kujitenga. Huwezi kuwa msaliti uka-survive system, TEC agents wenu wanazidi kupukutika ndani ya system.
Hatuchekeshi, tarehe 7/7 natarajia mtatoka kwa wingi zaidi ya Oct. 29, sisi kazi yetu itakuwa moja tu, kulenga za kichwa. Uzuri wa hili ni kwamba mlishaambiwa na kuonywa zaidi ya mara moja na mbaya zaidi, tunajua kwamba mmetumwa na mmeshalipwa, tutafanya kitu waliowatuma waone.
Clarity over speculation. The resolution represents the views of the European Parliament, not the final position of the European Union on the 2026 cooperation programme.
In 2018, several donors suspended funding, yet Tanzania's GDP continued to grow and the country officially attained lower-middle-income status in 2020. Development is driven by production, investment, and resilience—not aid alone.
Nchi za Ulaya na mshirika wake Marekani ni lazima wajue kwamba Tanzania ni nchi huru, na hata hiyo misaada ya ufadhili wake fedha wanazotupa, sio kwamba wanatupa bura na kuwa hawapati kitu, kipo wanachopata na sisi tunasema, waache kutupa tutajua cha kufanya.
Huyu ni Mtanzania pekee aliyetajwa kwenye #EpsteinFiles, Maria anatajwa kuongoza kazi ya kusafirisha mabinti wadogo kwenda kwenye Kisiwa na Epstein kilichopo Caribbean Sea Virgia. Kiwango hiki cha Ukatili mtu pekee anayeweza kufanya ni Maria. Huyu malaya kujiita mzalendo ni fixi.
Huyu ni Mtanzania pekee aliyetajwa kwenye #EpsteinFiles, Maria anatajwa kuongoza kazi ya kusafirisha mabinti wadogo kwenda kwenye Kisiwa na Epstein kilichopo Caribbean Sea Virgia. Kiwango hiki cha Ukatili mtu pekee anayeweza kufanya ni Maria. Huyu malaya kujiita mzalendo ni fixi.
😁 Raia wa Hungary una muwasho mkali sana.. Hii ni nchi na haitaendeshwa kwa hisia za watu wengine..
Kwani nani anataka misaada ya kondomu na ARVs iwe kigezo cha kuamuliwa mambo? Mbona huongelei hofu ya mabwana zenu juu ya uhusiano wa Tanzania na Russia na China? Au hayo maeneo unayapita kama unaaga maiti ya Filimoni?
2030 itafika na mtasema mmeibiwa kura! Kwani Uganda ilikuwaje si walipitishiwa muswada kama huu au huna habari? Walifanyaje?
HUNAGA AKILI NDUGU MUATHIRIKA📌
Tausi Likokolo ana a failed career kwenye Fashion, na ukitaka kujua hilo, angalia tu mtu yeyote anayeingia kwenye harakati na utu uzima, ujue alifanya makosa kwenye kuchagua kazi ya kufanya, sasa anafanya kila liwezekanalo aweze kujikimu, hata ikiwezekana kwa njia za haramu.
Wakikaa kwenye vijiwe vyao vya Mbege wanadanganyana kwamba Chadema ni imani.
Jana 18/06/2026 John Mnyika alidhalilika katika Uwanja wa Maulidi Jimbo la Nachingwea😂.
Chama kimeshapoteza mvuto wananchi hawana muda nacho tena. Msajili akifute tu kwakweli maana hivi ni vichekesho
Aid suspensions are not new to Tanzania. In 2018, Denmark, the UK, the EU, and Finland halted funding worth hundreds of billions of shillings. Yet Tanzania continued to grow and advance. Challenges come and go, but development must move forward.
Mwaka 1980 hadi 1986, Rais wa sasa wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi Magomeni-Mwembechai, Dar es Salaam.
Wakati huo alikuwa Mwakilishi Mkuu wa chama cha SWAPO, nafasi aliyoitumia kupigania uhuru wa Namibia.
Pia, akiwa Tanzania alifunga ndoa na mumewe, Epaphras Ndaitwah, mwaka 1982.
Akiwa nchini kwa ziara ya kitaifa atatembelea eneo hilo alilowahi kuishi.
Serengeti Boys imekuwa timu ya kwanza Afrika kufuzu Kombe la Dunia (U17) mwaka 2026 nchini Qatar.
Wakati huo huo, imetinga robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (U17) yanayoendelea Morocco.
Ninaipongeza Timu ya Taifa ya Vijana ya Mpira wa Miguu chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), kwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2026. Mafanikio haya ni fahari kubwa kwa taifa letu na ni ushahidi wa vipaji, juhudi na nidhamu ya vijana wetu katika kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.
Ninawatakia kila la kheri katika Mashindano ya Mataifa ya Afrika yanayoendelea. Nimeielekeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na mamlaka zote zinazohusika kuhakikisha maandalizi bora yanafanyika ili muiwakilishe vyema nchi yetu.