Wazee tupigane tafu kwenye shughuli zetu za kiuchumi, haya maisha ni magumu sana, bila kushikana yanakua magumu zaidi, na hakuna kitu unapungukiwa kugusa mchongo hata wa mtu huna mazoea naye, we have battles, we have families to feed ππ»
If you stay at something sufficiently hard enough for long enough, I have always observed that previously closed opportunities become possible later.
The outsider will think that is lucky but it is a recognition of perseverance. Game recognize game as they say.
@Ankal_Sam Na hiyo team imempa market share kubwa na value ya vipindi vyake. Kwa Sasa anafanya sustainability by cost cutting, hao jamaa hutakiwi ukae nao muda mrefu maana wanakula sehemu kubwa ya profit ya Radio
People ask for business ideas
The Uganda Investment Authority prepared and analyzed 205 business ideas, many of which also apply here in Tanzania.
Kila idea imewekewa mchanganuo wake wa costs, revenue, profit.
Fanya research yako kwa market ya TZ
Link: https://t.co/ZbWrsgizdt
Dear lovely doctors
I remind you that, all diabetic (new and those on tx) are needed to be screened for diabetic retinopathy. Ask them if they have ever seen at eye department for that purpose!
Kama bado mshauri aonwe na wataalamu wa macho. Mlinde mngojwa wa DM dhidi ya UPOFU