Imagine ku kuwa street child, no bills, no assignments, no rent, no alarm clocks or early morning rush-hour traffic, no corporate meetings, no ruto, kuamka tu na kutafuta glue ya kusniff and wait the day to end.
hakuna hustle sijajaribu campus, nilianza na kuuza njugu jioni after classes, kiasi nikakuwa babafua, hiyo ikakataa. Nikabuy trolley ya smoki na mayai, nikakula stock, sikuona profit. Nikasema wacha nianze kupika chapo. Chapo ilikuwa imekauka ungeeza tumia during assassination. Nikatafuta stock ya snacks nikuwe natembeza. Nikaleta mrembo, kuamka asubuhi ameangusha biashara akabakisha pegs na jug. Sai nko hapa bridge ya carwash mii ni bega. Ukipita hapo tafadhali usiniekee chini ya 2soo. Otherwise, ruto must go!
It's almost 1am and someone is blasting music at one sausand volume hadi inashake vyombo iko kwa sink. Tukuwe civilized. Some of us tumeshinda mjengo na tunajaribu kulala.
Hii keki nilibuy jana ndo nikuwe nakula asubuhi the next 5 days. Sai sijapika tangu jana, imekuwa tu cake na maziwa, cake na cha, alafu ndo namalizia na maji nilale.😂