@Sirajitz1 Wosia wa tajiri mara nyingi huwaga ni majuto au sth that has happened b4 in their ego wastupange hao waloongoza kwa utiifu ndo wanaongoza kufa maskini
Mwanaume humpenda mwanamke kulingana na thamani aliyonayo na sio uzuri wake wala shepu lake....
Sasa dada huna hela na tabia njema pia huna halafu kutwa kulalamika hupendwi nenda ukapemdwe na baba yako ndo atavumilia kubinuliwa mdomo