Wanaihofia Chadema, lakini hasa wanamuhofia Lisu,Na hofu yao kubwa dhidi ya Lisu sio hata kwamba wanahofia ataingia ikulu la hasha, kwa propaganda zao na nguvu ya dola waliyonayo wanaamini hilo haliwezekani!!
Wanachohofia ni kitu kimoja tu…..Lisu anaposhika kipaza huwa
-Anawafumbua sana watanzania.
-Anawajuza wasiyoyajua na wanayofichwa na watawala.
-Anawajaza ujasiri.
-Anawafumbua wazijue na kuzidai haki zao!!
Hicho ndicho ambacho wao wanakihofia tu, kwamaana Agenda yao nambari one ni wanataka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu,waoga na wasijue haki zao!!
SIMPLE
Name: Nickson Jackson idara
Makazi: Mbezi Afrikana (Kwa Barikiwe)
Kulia ni mama yake anaitwaye Veronica Tulole na ni mjumbe shina wa CCM.
Ama niweke namba zao tuwasalimie?
Asante Mungu
Ni matokeo mabaya lakini yenye kutupa maono wapi tunaelekea kwenye ujenzi wa kikosi chetu bora msimu huu
Tunakila sababu ya kujivunia maendeleo ya Project yetu ya muda mrefu iliyohusisha wachezaji wengi wapya wenye vipaji vikubwa na umri mdogo
Wana Simba matokeo ya leo yasiwatie unyonge kwani tupo katika njia sahihi sana na punde tutaanza kuogelea kwenye mito ya asali
Hii ni tofauti na msimu uliopita tulichukua ngao ya jamii lakini hatukua na timu imara ndio maana tukakosa Makombe yote, Msimu huu tumekosa Ngao lakini tunayo timu imara ya kutupa heshima hapo baadae
Ubaya Ubwela