Nimepewa taarifa na Wasamaria wema kwamba ndugu yetu Kuringe Sawere anashikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam.
Tangu achukuliwe na Polisi December 4, 2025 mpaka leo hajaruhusiwa kumuona mtu yoyote wala kufanya mawasiliano na familia yake.
#FreeKuringeSawere
Anaitwa CP JOHN KAAYA yupo kwenye DAWATI LA DORIA MITANDAONI—huyu alikuwa Shahidi namba mbili kwenye KESI ya Tundu Lissu.
9.11.2025 alinitumia EMAIL kupitia Gmail account ya “Crime desk Tanzania” na kunitisha na kuwa WATANIPATA TUU ni suala la Muda. Sikumjibu kitu maana meseji za VITISHO nimeanza kupokea nina mwaka na nusu sasa.
Nimetunza email yako subiri muda Wa SIMULIZI ufike dunia itajua tunaongozwa na VIBAKA waliokosa Weredi.
Tangu nitekwe ni mwaka na miezi 6 sasa hakuna chochote mlichofanya kuwajibisha walioniteka—zaidi mmewekeza nguvu KUNITAFUTA na kuniteka tena na round hii mmeniahidi HAMTAKOSEA.
Nyie si miungu watu acha INYESEHE.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kombo, sikiliza, siku moja tulitoka dinner na wadogo zetu wawili, Nelson na Mandela. Tukiwa pale kwa msosi wakachukua menu, wakaisoma, wakatabasamu 😏, wakaona jina refu linalovutia sana, Rice & Beef Stroganoff. Wakasema, “Hii lazima iwe bonge la msosi, wakaagiza bila hata kusita.
Baada ya muda waiter akaleta chakula. Nikawaangalia… ghafla nyuso zikakunja 😐😒.
Mmoja akasema, Dada, si ungesema tu kama ni wali nyama? Waka- mind vibaya sana 😂😂. Sasa Kombo, hili ni swali langu ?
👉Wakati unaongea Katibu Mkuu wa UN, ulimuelewa vizuri?
👉 Au na wewe ulikuwa kwenye Beef Stroganoff mode 🤣🤣
X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
WAZIRI HARAMU WA AFYA Anatuambia MAREHEMU hali yake ilikuwa MBAYA SANA.
WAZIRI MKUU MKUU HARAMU anatuambia MAREHEMU hakuonyesha kama ana changamoto KIAFYA.
Hapa WOTE wanaujua ukweli ila kuna MMOJA kasahu Script ya SINEMA ZETU. 😂
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
There is a reason I've said if Sanchez stays consistent he has the potential to be the best GK in the World. If he locks in. He's also repaid my faith when others doubted. Few kept the faith. He's leaping in front of others as our top 2 best players this season. He's showing his leadership qualities and he's just so important for us man. Another clean sheet.
#FeltSoSafe
Mwalimu wangu Tundu Lissu analala jela kwa mateso ya bure wakati muuwaji wa maelfu ya Watanzania yuko Ikulu. Mungu hataniwi. Tunaomba uhai tuuone mwisho, tushuhudie Ukuu wake. Free Tundu Lissu Now!!
Waziri mchengerwa Acha ujinga,tunafahamu yote yaliyojili kuhusu kifo cha mbunge mhagama. Baada ya raisi samia kumukata uwaziri,alisikika akiapa samia atajuta,na ndio amri toka juu ikatolewa,akapewa sumu,sasa ni maiti. Nyiyi maccm ni wauaji. Mimi sipendi ccm,lakini pia sipedi kuua
Yuko wapi? Daniel Chochorio
Yuko wapi? A Z O R Y G W A N D A
Yuko wapi? Deusdedith SOKA
Yuko wapi? MDUDE Nyagali
Yuko wapi? Humphrey POLEPOLE
Yuko wapi? Dionis KIPANYA
Yuko wapi? Fedrich CHAULA
Yuko wapi? Fortunatus BUYOBE
WAKO WAPI NDUGU ZETU HAWA?
HATUWEZI KUWASAHAU!
Weedhead & your confused clique, nobody cares about your political affiliation. Our problem is siding with oppressors during a turbulent time. While we were being kidnapped/killed with your Government you kept mum & shakingyour booty. Shut up & Get your GovT to attend your shows.
MWIGULU (MADELU) anasema Marehemu alikuwa mzima wa Afya.
MCHENGERWA (Kifua KIPANA) anasema Marehemu alikuwa na hali mbaya ya kiafya.
FAMILIA YA MAREHEMU wanataka maiti ya ndugu yao ifanyiwe ‘postmortem’ (UCHUNGUZI WA SABABU YA KIFO) Serikali wanakataa na kutaka Mazishi HARAKA.
Anaandika Martin Maranja ~
MWANANCHI, MNAMDANGANYA NANI?
Picha hii ilichapishwa mara ya kwanza 6 September 2017 katika ukurasa wa Facebook wa HELEN DAVIES (raia wa Uingereza) alipotembelea Jambiani na Kendwa, Unguja, Zanzibar akiwa na kundi la marafiki zake.
Gazeti kubwa na kongwe kabisa nchini la MWANANCHI linaitumia picha hiyo miaka mitano (5) baadae, 10 December 2025 katika habari yake kuonesha ongezeko kubwa la watalii Zanzibar, wakiwepo wataliano
Gazeti kongwe la MWANANCHI wanataka kutuaminisha nini wasomaji wa habari zao? Je, ni ukweli kwamba printing media imeharibika kiwango hiki? Kwamba wanaweza kudanganya watu katika zama hizi?
Nimeona utetezi wa MHARIRI wa MWANANCHI saa 24 baadae anasema “Katika taarifa hiyo tulitumia picha ya mtandaoni inayoakisi shughuli za Utalii Zanzibar na haikuwa picha mpya”. Picha za sasa zipo wapi?
Kwa akili hizi za huyu MHARIRI wa MWANANCHI ni kwamba, MELI ikizama Tanzania, MWANANCHI watatumia picha za TITANIC iliyozama mwaka 1912 kueleze hali ya meli kuzama Tanzania 2025?
Journalism ethics mmejifunza wapi waandishi wa sasa? A fundamental principle of professional journalism and advertising governs the ethics of misleading information in print media. Hamuelewi hii kweli?
The ethics of mass media should involve being fair to the facts, accurate, responsible, and credible. Don't propagate rumors or myths, and don't make claims that can't be validated by reputable sources. HYFR.
Kitabu cha “The Elements of Journalism” kimeandikwa na Bill Kovach na Tom Rosenstiel (2001) kimeeleza vizuri ‘core principles of journalism’. Journalism’s first obligation is to the truth. Kinauzwa 24K AMAZON.
Nafikiri, vyombo vya habari ni sehemu imeharibika zaidi hata kuliko baadhi ya mifumo ya Serikali. Wahariri wa vyombo vya habari wamekuwa machawa wa Serikali na CCM, wanatumika kufanya propaganda kipuuzi.
MWANANCHI, basi hata mngelitumia picha za (vijana wapiga makachu) mseme ni watalii kutoka Barbados au Trinidad & Tobago wamekuja kutalii na kupiga misamba Zanzibar? ACHENI UPUMBAVU na UTAPELI..
MWANANCHI, meamua kuchagua fungu lenu, fungu la kutumikia uongo. Lakini mtambue, mnapoteza uhalali mbele ya hadhira ambayo ni wasomaji wa magazeti na habari zenu. Rudini katika misingi. Hamjachelewa.