@yudatade3 @ExMayorUbungo Jamani kweli watu ninyi ni wanafiki sana. Hivi kuna uchaguzi gani ambao mnafikiri mnaweza kushinda. Miaka yote mnaibiwa kula kibabe halafu bado mnaona mnaweza kushinda. Mnaotaka uchaguzi ktk mazingira yaleyale ni sawa tu na wachumia tumbo. Acheni undumila kuwili!
@Abdultwalib10@ahmed__ally Watu mnasahu kuwa hilo jina la combe la confederation lilibadilishwa kutoka cuf cap na hasa baada ya kufanya marekebisho na kushirikisha losers wa champion league kama ninyi. Ni sawa na TFF ya sasa ilikuwa FAT ya zamani! MMEVUNJA REKODI YA NINYI WENYEWE!! Full stop!
@EduTalkTz Kama issue ni mazingira facilities basi hata msingewapanga kwenye madaraja, msingewapa mtihani mmoja! Team yetu ya TZ ya mpira isipambane kwenda kombe la duni! Acheni drama zenu bana!