Vilio ni vingi sana maana mlisema mme obliterate Iran ๐.. Kwani kuna gaza mmesahau mmefanya nini jameni? Hawa ndiyo size yenu tulieni mshikishane adabu
If there are internationally recognized weapons and ballistic missiles for war, we are all doomed. That means war is a recognized form of settlement internationally.
@bbcswahili Hapa naamini mnajua ya kuwa tunatambua hakuna taifa linaitwa Israel, linapokuja suala la vita.
Kisiasa, kuna Israel na Iran lakini kijeshi kuna Iran na US and Allies. Huo ni ukweli mtupu. Israel ilishindwa vita hadi na Palestine hivyo Marekani ikaja nawashirika wake kuisaidia.