Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Usiku umeingia ndugu Mtanzania,
Umeingiza hata $1 Leo?
Usiogope kama umetoka kapa.
Nakupa mchongo wa kupata $21 kwa kufanya survey 2 za dakika 15 ndani ya siku 2 tu.
Vigezo ni rahisi:
• Like & Repost
• Follow @Psiteshio1
• Comment neno LINK
Nitakutumia link instant.
@ZizzouSule Nakumbuka niliendaga urafik hapo wanajenga godown kubeba tofali....... Tofali moja buku siku nzima tofali 20 sikutoboa jinsi lilivyo zito na ndo ikawa mara ya kwanza na ya mwisho😂😂😂