@EsirEid@maestrowafact Wengi sana. Mnooo mnoo mnoo. Mtu anakula anashibaa nani kasema mama mwenye nymba wngu. Kka yake ana watoto wawilii. Yuko uko .. prd haha 😄 😆 🤣
#TajiriLaKihaya
Wakuu Tuendelee kumchangia dada yetu…
Miaka zaidi 13 kukaa kitandan bila kufanya chochote ni balaa…
We jiulize tu- kwa mfano ukiwa mzima hivyo ulivyo lakini ukasimamishwa kazi mwaka mmoja tu- utaishije?? Savings zako zitakuepo baada ya mwaka bila kuongeza ni kutumia tu??
Sasa huyu toka 2012- hawezi kaa wala kusimama ni kulala tu💔
Mtumie chochote kwenye hizi namba zake- unaweza mpigia pia kumfariji🫶🏾
Proverbs 4:23
[23]Keep thy heart with all diligence; for out of it are the issues of life.
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Proverbs 23:12
[12]Apply thine heart unto instruction, and thine ears to the words of knowledge.
Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.