@el_Ahmaddd@5StarFoto Siyo rest unaleta ushamba na uswahili uko uarabuni papa anakaa meza moja na mashekhe sembuse wewe kijana wa mbagala unajikuta mfia dini unachekesha umati
@shabanizambo@GIVENALITY Kama unaruhusiwa kula kitimoto ikiwa upo kwenye madhingira magumu ya kupata chakula kwanini usile kitimoto ili kuepusha watu kuuana kwasababu ya udini kwamba kwako njaa ni bora kuliko uhai
@President_Afisa@sajo_mwaihabi Kwa sasa matajiri wengi wameingia upepo kuziushisha biashara zao na mambo ya vyama nafikiri msg zimeanza kufika kama taifa tunaanza kuona mwanga brand zinazoshirikiana na wapuuzi tutaanza kuzikata
@Sativa255 Wananchi waliwaamini kila walipowaona waliwashangilia waliamini jeshi liko upande wao inasikitisha kuonna now ndo wanawashinikiza wananchi kulala saa 12 serious
@Sativa255 Kitu Jwiii linaweza ni kurusha raia wasio ata na bunduki kichura na kuwaambia walale saa 12 mambo ya kitoto ndo wanaweza na kunyanganyana mademu vitu vya msingi hutawaona ni mambwa yasiyokua na meno manyuki ya mashineni
@Sativa255 Jeshi lolote duniania kama kunakitu wanaogopa ni kukataliwa na wananchi wake ukitaka kujua hili moja kati ya sababu ilizofanya Tanzania kushinda vita ya kagera nikwasababu wananchi wenyewe wa uganda walilikataa jeshi lao, katika hili JW wanachakujifunza
@EsirEid@OscarMsanzi Kinachowaumiza ni target unakuta bank imewapa target ya kutafuta depost ya 50M au 100M kwa mwez, na unawajua matajir mfano mzuri si unamuona tajiri la kihaya๐คฃ
@AdamEzekiel12@MalisaGJ_ Wewe unafikiri watanzania wote wanaafford kununua unga au ndo ulivyokaririshwa kusikia kenya wananunua mahindi ukahis wakenya n8 maskini
@zittokabwe@ACTwazalendo@MchinjitaIR Shida ya mwendo kasi ipo toka mika 2 ama 3 nyuma kwanini mmeona uchaguzi unakaribia ndo mnajifanya mnajali kuhusu mwendokasi na wanachi nyinyi ni madalali wa siasa na mnaona wananchi niwasenge safari hii hatupigi kura alafu tuone ayo madaraka mnayoyatolea macho mtayapataje MF-
@swahilitimes Atakama ujisikii kuchukia ila aya mambo yanakera ukiyasoma maana nikama mwenyeshibe amjui mwenye njaa taifa ili linawatu wengi masikin kuliko kawaida umasikini wa watu wetu unatisha alafu unakuja mitandaoni unakuta watu wameweka hizi porojo ๐ญ