Mbilinyi Electronics Sasa Tunauza Tv Za Brand Mbalimbali pia tunazo Home Appliances Zote Yaani Fridge, freezer, pasi, washing Machine na Mazagazaga kibao.
Kwa Leo Tuna offer ya Tv kali
Hii ni Hisense 55" na Bei yake ni 1,100,000/=.
Call/Whatsapp 0718136962
@spana_Konki Tatizo watu hudhani labda maiti inadaiwa huduma za mortuary tuuu kumbe madeni mengi ni yale alipokuwa mgonjwa na ndugu wanaulizwa tufanye hivi anasema sawa
@BongeLaAfya Kuna Dogo almaliza form 4 akaenda kusoma Nje Degree ya MD harafu akarudi bongo kuomba MCT wampe kibari cha kufanya intern waka mwambia achague either aende PCB advance au aunde Clinical officer
Tuungane kumsaidia mtoto huyu apate matibabu hospital ya Muhimbili, Dar. Anahitaji milion 1 na laki 7 afanyiwe upasuaji.
Tuma mchango wako kupitia namba 0786421966 SARA MKINGA.
NB: Taarifa hii nimeitoa ukurasa wa ITV.