Mtoto wa Mwalimu aliyekuwa na ndoto ya kuwa Rubani kisha akaishia kusoma seminari akiyaendea maisha ya kuwa mtawa (Padri) na kisha baadae kujiunga na Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ahitimu na kuwa daktari (MD)🩺🥼
Sasa ni Yuda Sule Paschal, MD 🥼❤️🩺
When the Bible sounds good it’s literal, when it sounds bad then it’s taken out of context, when it contradicts science it’s a metaphor, when it contradicts itself, it’s a translation error and when the old laws are inconvenient, Jesus abolished them
Kuna watu wanafanya vizuri sokoni kimya kimya, katikati ya akina Niffer kuna ma giant wa vipodozi kitambo, mtu anakwambia yupo kwenye game kwa miaka 12, miaka 5 iliyopita account ilikuwa na zaidi ya Euro 500k😂, Sarah Cosmetics ametisha.
It's Friday
No girl is pregnant for me
I'm not begging a woman to be nice to me
December is 3 months away
I'm not typing a paragraph to anybody's daughter begging for love
And pampers is not a part of my monthly budget
Life is good 🥂