@immo_tz@airtel_tanzania@diamondplatnumz@AirtelTanzania@Airtel_Tz Anyway, its better to call them rather than kuchat na huyu Admin uchwara. Nna wasiwasi ni mtu wa marketing rather than technical support.mimi niliambiwa nikarenew line...kwa issue ambayo iliresolve yenyewe. Admin wa tempo huyu kama ambavyo uliwahi kuwa wewe mwanagu😃
@airtel_tanzania kutoka kibada kigamboni nashindwa kuelewa why mnasema airtel 5g unlimited 110k = 30mbps speed imefika na hakuna shida ya kuload wakati hata 4g yeneyewe nishida afu mnatoa hela nyingi kuwapa wasanii na influencers watudanganye badala ya kuboresha miundombinu#fixit
@fc_nvn160@airtel_tanzania@diamondplatnumz@AirtelTanzania@Airtel_Tz 🤣🤣🤣🤣 we jamaa bwana mi siwezi kuwa na uhuni wa namna huu…maana customer care nilipiga last week walammkalpdge complaint nakusema wanashughulikia afu gafla next day nikatumiwa text kwamba tatizo limeshughulikiwa na ticket imeclose wakati shida ipo pale pale
@airtel_tanzania@diamondplatnumz@AirtelTanzania@Airtel_Tz Kwanini mnasema mmefika kila kona ya dar wakati huku kibada,kigamboni hamna internet kabisa na ni pakage ya 110k 30mbps unlimited na hapo tupo wawili using netflix na youtube lakini ni shida stop lying and waisting peoples time and money kwa false advertisements from wasanii
@airtel_tanzania@diamondplatnumz@AirtelTanzania@Airtel_Tz Sasa namba ya router na mawasiliano mnaichukua but no changes tatizo sio kifaa nikiwa mjini posta kinafanya kazi vizuri tu ila nikishafika home kigamboni kibada inakuwa shida kama mwaka jana network ya internet ilivyopotea sasa sielewi kama huku hamna minara au mnajitoa akili tu
Kendrick Lamar 'Euphoria' did 9,206,498 streams on Spotify Globally just yesterday.
To Put it in perspective, its the biggest Global streaming day by any hip hop song released in 2024 on Spotify
@McFly745 So you saying #KendrickLamar ni mchoyo hataki kutoa credit kabisa kwa producers wake kama #Drake maana he had plenty more producers on #Euphoria compared to #pushups and not a single one is credited i still think this need to be addressed to get the real truth.
Drake - Push Up lyricist credits vs Kendrick Lamar - euphoria lyricist credits…
I wanna know why Drake has composing lyricist credits with two other writers vs Kendrick only having himself put as a composer lyricist.
#drake#pushups#KendrickLamar#Euphoria#hiphop#culture