Wewe ni miongoni mwa wale wanaopiga namba 100 ili kuhudumiwa? Basi hii inakuhusu!
Ungana nasi tar 19 tukujuze maboresho katika eneo hilo na njia mbadala na rahisi zilizoko. Vile vile, itakuwa fursa ya kupata maoni yako ya wapi tufanye maboresho #VodaChat
https://t.co/Z0T5bbJEah
Hata hawa jamaa ni scammer tu kama wengine tu!
Emagine!
Simu inaitaa.... ☎️
Unapokea...📞
Wewe: Hello
Jamaa: Niaje bro!
Wewe: Fresh mkuu, habari ya siku?
Jamaa: Frsh kaka. Sasa Mzee mwenzangu, naomba niazime 50k Nina kipengere cha Kodi mwanangu. Nataka nijazie Kisha nilipe. Then ntairudisha next Week Ijumaa.
Wewe: Fresh kaka.
Muamala huooo...💵💴
Jamaa: Ahsante mwanangu, Ubarikiwe sana.
Mimi: Frsh mwanangu ila fanya kweli!
Ijumaaa imefika... Jamaa hapokei simu ila WhatsApp yupo online. Ukimtext unaona ameswipe notification.
Mfumo huu ni njia Moja wapo ya UTAPELI WA MTANDAONI. Sio lazima iwe tuma kwa no hii. Hata hawa jamaa ni scam tu kama wengine.
Wacha Leo NIFUNGUKE mawazo yangu kwenye space ya #VODACHAT. Maana hawa jamaa wamezidi sana. @VodacomTanzania kwani mtu akitapeliwa, hawezi kuja kwenu ili apate full info za huyu mhusika wa kutapeli na kupotea hewani kwa kupitia vitambulisho vya NIDA?
Maccel Melo ni kati ya figures ambazo naziadmire sana hasa katika issue za ICT.
Nikishaona yupo mahali anatema madini, lazima nitulie na nimsikilize kwa makini sana.
Space ya Leo sio ya kukosa kujifunza namna rahisi ya kuepuka Matapeli wa mtandaoni. KUANZIA SAA 11 hii
#VODACHAT
Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli kupitia Mitandao ya Simu?
Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na JamiiForums itaendesha Mjadala kuhusu namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni
Ungana nasi leo, Septemba 21, 2023 Saa 11:00 hadi 12:30 Jioni.
Kushiriki fuata link hii https://t.co/eJ0oswTQaC
#JamiiForums #DigitalRights #JFSpaces #EpukaUtapeliMtandaoni
Dingo Peter (Meneja Udhibiti wa matukio ya Utapeli - Vodacom): Kwa kufanya ana kwa ana, Kimsingi Mtu anakuja na kujitambulisha kwamba anatoka sehemu kama Vodacom
Na anachokifanya ni kuweka kitu kinaitwa Screen recording ambapo hapo huwa anaweza kurekodi chochote unachokifanya kwenye Simu yako
Atakuambia uweke password kwenye M-Pesa au kwenye akaunti ya Benki. Ukimaliza hapo anakuwa amepata moja kwa moja 'password' zako
#MitandaoBilaUtapeli #FightSocialScams #DigitalRights #JFVodaSessions #JFVoiceBasedSessions