Overdrive ni nini?
Overdrive ni gia katika mfumo wa gari ambayo uifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo. Kwa lugha rahisi, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi ambayo inakupa mwendo uliotulia, wa kasi lakini kwa mzunguko mdogo wa injini (RPM)
Advantages of Visiting INDA CAR SERVICES:
1Expert Technicians: Our skilled professionals provide top-quality service for all your car needs.
2Comprehensive Services: From engine repairs to tire maintenance and bodywork, we offer it all.
Taa ya check engine haihashiri tatizo kubwa kila mara kuna mda inaashiria matatizo au makosa madogo madogo mfano kama mfuniko wa tank la mafuta kutokufungwa vizuri.
#garage#engine#tz
WCWwithInda
Cheers to all ladies out there who support others positively
@nzuri_detergent_soap
location @pips_by_rae_workshop
#wcw#WCWwithInda#indawomen#indaworld✌️#0623471319
TIP OF MAINTANANCE
Usidanganywe na mafundi janja janja,tairi lina uwezo wa kukaa si zaidi ya miaka 5,lakini muda sahihi wa tairi kuishi baada ya kutengenezwa ni miaka 4.
Karibu @indacarservicestz kwa ushauri zaidi
#indamondays#tipofmaintanance#indaworld✌️ #0623471319
Free light polishing leo @indacarservicesTz katika happy hour offer
tukutane saa nane mchana hadi saa 11 jioni for this and more
#indacarservicesfamily#happyhouroffer#indaoffers#indaworld #0623471319 @ Sakina https://t.co/d9tH2ohr08