IKULU CHAMWINO:
Mhe. Rais Magufuli Jumamosi tarehe 30 Mei, 2020 anashirikiana na Mama Maria Nyerere (kwa niaba ya Baba wa Taifa), Rais Mstaafu Mzee Mwinyi, Rais Mstaafu Mzee Mkapa na Rais Mstaafu Mzee Kikwete kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
Mhe. Rais Samia kuzindua mtambo wa kisasa wenye uwezo wa kufanya uchunguzi na matibabu ya moyo (Catheterization Laboratory - Cathlab) ktk Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam leo kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.
Vyombo vya habari vitarusha mbashara
#KaziIendelee
#Today in Tanzania 🇹🇿
Check out the programme details for Aga Khan University’s first-ever global convocation. Watch the live stream today, 22 May 2021 at 3:30pm Tanzania time at https://t.co/sSNErGSyoT or https://t.co/ESAwEtJoT2. #AKU20#AKUConvocation#AKDN
Melinda French Gates, co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation, will be the chief guest at AKU's first global convocation on May 22, 2021.
Learn more https://t.co/6oylYmn83t #AKUConvocation#AKU20
#Today
Check out the programme details for Aga Khan University’s first-ever global convocation. Watch the live stream today, 22 May 2021 at 3:30pm Tanzania time.
#AKU20#AKDN#AKUConvocation#Tanzania#URT
Mama kila kitu kinategemea kwenye nia. Rais wetu mpendwa aliyepita alikuwa na nia yake na wewe sasa hivi una nia yako, wasikufitinishe wala wasikusumbue. Hawawakorofi utatuachia sisi watu wamadhehebu tutawaombea na Mungu atawaangamiza.. - Sheikh Dewji
Mwenyezi Mungu ndiye aliyetupatia uongozi hivyo tuutii na kuuombea tena kwa Umoja wetu.Lakini pia, tuwaombee viongozi wote wa ngazi zote hata huko Wilaya zetu, Tarafa zetu na Kata zetu. Niwaakikishien; Huwezi kumchukia mtu unayemuombea- Askofu Dkt.Cheyo #RaisSamiaNaViongoziWaDini
Miaka takriban 6 imepita tangu niondoke kwenye Jengo hili.. Leo ninayo furaha kurudi tena na kupata fursa hii ya kulihutubia Bunge hili ambalo limenilea, limenijenga, kuninoa na kufanya uwezo wangu uonekane na wote mpaka kuweza kushika nafasi hii niliyonayo - #RaisSamiaBungeni
Nimefarijika kuona baadhi ya wenzangu niliokuwa nao bado wapo ndani ya Bunge hili. Lakini, nimepata faraja zaidi baada ya kuziona sura mpya zenye ari na matumaini ya kuwatumikia Watanzania. - #RaisSamiaBungeni@bunge_tz@MsigwaGerson
Mhe.Spika; Nashukuru sana kwa ukarimu wako pamoja na Waheshimiwa Wabunge kunikaribisha leo hii ndani ya Bunge hili. Nimekuja kulihutubia Bunge hili baada ya nchi yetu kupita kwenye kipindi kigumu cha historia ya uongozi. - #RaisSamiaBungeni
Kwa sababu hiyo, kabla sijaendelea mbele na hotuba yangu, naomba sote tusimame kwa dakika moja tumuombee Hayati Rais Magufuli...
Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho yake mahali pema peponi. Amina. - #RaisSamiaBungeni
Hivyo basi, napenda nitumie fursa hii kurudia tena kutoa pole nyingi sana kwa familia, hususan Mama Suzan Magufuli, Mama wa Marehemu; Mjane wa Hayati Dkt. Magufuli, Mama Janet Magufuli; watoto, ndugu pamoja na jamaa. - #RaisSamiaBungeni@tanzaniagov@IkuluTanzania@ikuluzanzibar
Napenda pia kutoa pole kwa Bunge hili Tukufu ambalo kabla awe Rais alikuwa mwenzenu kwa miaka 20. Aidha, kama ivyofahamika, kwa mujibu wa Katiba yetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sehemu ya Bunge hili. Hivyo basi, sina budi kulipa pole Bunge hili.- #RaisSamiaBungeni