@king_kinya EPIC OF GILGAMESH ni safari ya kale ya Mesopotamia iliyorekodiwa katika lugha ya Kiakadi (Akkadian language) kuhusu Gilgamesh, mfalme wa Uruk (Erech) wa jiji la Mesopotamia.
Hadithi hizi zilichukuliwa na Wanafalsafa wa Kiyahudi walipokuwa wanaandika maandiko yao.
@DullahTheking2 Arguing with someone who cannot even write properly is pointless. If a person hasn’t mastered basic writing skills, how can they build a logical argument? Some things are simply laughable and a waste of time. Let him master writing skills first before trying to argue. 😎
@DullahTheking2 Hoja zenye chuki zinapoteza hata urafiki. Huyu mwanangu BABU BOMBA hayapona tangu RAPCHA alivyoliwa na DIZASTA VINA.
Hapo mtapoteza muda tu. Jifunze kumsoma mtu kaka. Hapo hakuna kitu. Hakuna hoja zaidi ya kupandishana hasira.