CHUKUENI kila kitu lakini mtuachie kuwa huru kuwakosoa pale tunapohisi mmekosea. Mtuachie uhuru wa kuwasema vibaya, hata kama ni kwa makosa. Tukisema hayo tusiwe na hofu kabisa kwamba maisha yetu yamo hatarini. Kwamba tuliowakosoa wanaweza kutuwinda na kutumaliza. Kiongozi kazi yake ni kuonesha (kwa maneno) kwamba wakosoaji wake hawako sahihi, siyo kwa kuwapiga, kuwajeruhi na kuwaumiza kwa fimbo wale wasiopendezwa na uongozi wake.
Kiongozi, hata awe malaika, hawezi kupendwa na kila mtu. Ni jukumu la kiongozi mzuri kuwalinda hata wale wasiompenda kabisa.
The so-called Tanzanian elites and celebrities who stayed silent - or worse, mocked those who are suffering - should be deeply ashamed. 😔
Wananchi, those were never your people. They built influence through you but never cared for you.
Saddening 💔 Compassion is free.
Narcissism, sina msamiati wa Kiswahili, ni maradhi ya nafsi yanayomfanya mtu awe mtumwa wa sifa kupita kiasi, kuonekana anaweza kuliko wengine na ana kitu cha tofauti kinachomfanya awe juu ya watu. Haya ni maradhi yanayompa mtu kiburi cha kujiona si binadamu wa kawaida, ana nguvu zisizo za kawaida, na wakati mwingine, mwenye uwezo wa kutengeneza ushawishi na ufuasi kwa watu.
Maradhi haya humea vizuri kwenye shughuli zinazogeuza kilema cha kuchezea hisia za watu kuwa mtaji—dini hasa zile za jeshi la mtu mmoja, harakati hasa zile za kushambulia watu, usomi hasa ule unaokupa mamlaka ya kusema kitu na mtu asithubutu kukuambia kinyume na hata siasa za umaarufu. Popote unakoweza kufanya manipulation, ukajitengenezea kadunia kako cha kuchezea imani ya watu, ukapata ufuasi, ukalewa sifa na ukawa na watu ama wanaoamini huwezi kukosea au wanaogopa kukukosoa moja kwa moja hapo lazima utapenda.
Mazingira yanayokufanya uonekane mtu wa tofauti na wengine, wa kipekee, mwenye vipawa visivyo vya kawaida yanakufanya ujipe haki ya kusema chochote kwa mamlaka yasiyohojiwa na ukiharibu unajua bado kuna mfuasi atakusemea na asipokaa sawa unambebesha mzigo ashughulike na wakosoaji wako. Narcissists wanapenda sana mazingira hayo ya kuaminiwa kupindukia na hukasirika sana ukionesha wasiwasi na ulaghai unaomhakikishia ufuasi.
Eeehhh MUNGU tunaona Toba na Rehema juu ya Damu isiyo na Hatia iliyomwagika ktk Nchi yetu.
Tunafahamu madhara yake huwa ni LAANA juu ya nchi hata kupelekea Ukame, Njaa, Vita n.k
Nakuomba Damu iliyo mwagika ikawe juu ya wale wote waliohusika kuimwaga!
USITUTIE KTK TAABU KUU
Pale TUMAINI la Mwanadamu linapoishia, ndipo UAMINIFU wa Mungu Unapoanzia!
UTUKUFU wa MUNGU ulionekana baada ya Lazaro kufa na kuanza KUNUKA, sio wakati anaumwa!
So Kuna wakati Mungu anasubiri ukate TAMAA ili yeye aingie kazini. Na mwishowe akuoneshe Ukuu wake.
MUNGU ANAJIBU!
Dear Brothers and Sisters, YEYOTE aliyetoa KAFARA ya DAMU ZA WATU & WANYAMA kwa ajili ya UCHAGUZI, Kwa ngazi/Nafasi yoyote Hakika HAVUKI DESEMBA ATAKUFA!!
Hii nchi haitoongozwa na wachawi!!
God Him self is Under control now!!
MUNGU AMESIKIA KILIO CHETU NA MAOMBI YETU!!
Yale YASIYOTARAJIWA, Mungu anaenda kuyadhihirisha kwa MKONO wake kwa ajili ya UTUKUFU WAKE mwenyewe!
JESHI la MBINGUNI linaanza kazi rasmi.
Kumbuka; Hesabu za Mwanadamu si za MUNGU , na Mipango ya Mwanadamu ni upuuzi mbele za MUNGU!
KANISA, Ewe Kanisa,
Pamoja na kujenga majengo mazuri na kuwa na miradi mikubwa ya maendeleo; usisahau kuwekeza kwenye mioyo ya vijana, kizazi kipya. Waambie vijana uzuri wa Yesu na nguvu ya Roho Mtakatifu. Wahimize vijana, siyo tu kuja kanisani, bali kuja kwa Yesu. Waokoke, waihubiri Injili. Wampende Yesu na kumwishia Yeye.
Ndipo majengo na miradi vitakuwa na maana.
Otherwise, kilichotokea kwa baadhi ya mataifa ya Ulaya kinakuja - mahekalu magnificent yaliyogeuzwa kuwa ofisi za halmashauri na maholi ya kihistoria.
Mioyo!
Miaka hiyo 1995, 2000, 2005, na 2010 ilikuwa ikifika mwezi Aprili tayari unafeel hekaheka za uchaguzi yani. Ukipita stendi ni sera za vyama zinatembea. Sokoni huko ndo usiseme. Hawa wako stejini, wale kwenye kenta na vipaza sauti. Hawa wanagawa tisheti, wale wanagawa vipeperushi. Hawa wanabishana, wale wanatukana, wengine wanalazimisha hoja, na kuna waliokuwa kimya. Tulitofautiana lakini hatukupigana. Tulikosoana lakini hatukupotezana.
Kikwete na Mkapa mlikuwa na mauzauza yenu, lakini mliacha Watanzania wakapingana bila kuparuana.
Hivi hii ni Septemba, siyo? 🤔
Nairobi’s Wash Wash Kings: Corruption, Drugs & Dirty Deals; From Gold Sc... https://t.co/CQtW511QsH via @YouTube informative and educative on money laundering. Well put and the stages properly covered: placement, layering and Integration.
Kuna kila dalili ya watu kuingizwa mtegoni bila kujua, halafu mtu anapita katikati yao anaondoka huku nyuma aibu inakuwa kubwa. Mipango yote ya gizani, itaangazwa na kumshtusha kila atakayeisikia.
Looking at that court decision on the Mpina case, you realize that LICE are crawling in our governance bodies to the extent that they are almost ALL DEAD! Is there a way of ressucitating these zombies and breathing new life into them or is it too late? Any exorcist around?