Majirani zetu hasa Kenya kuweni makini na harakati za huyu kibibi @MariaSTsehai ambaye kazi yake ni kutapeli watu na kufanya harakati za kuchonganisha serikali na wananchi wake.
Taarifa za hivi karibuni kutoka Chadema zinaashiria mvutano wa madaraka kati ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, na Katibu wake, Amani Golugwa.
Mgongano huo umeonekana wazi pale ambapo Mwenyekiti wa kanda ameitisha mkutano na waandishi wa habari.
Tanzanians are indeed the giants of the sky, and under President Samia Suluhu Hassanโs visionary leadership, they are taking flight with the launch of the Skyleader 600, the countryโs first locally manufactured aircraft!
This remarkable achievement not only signifies a major advancement in aviation technology but also promises to create jobs and enhance the economy by providing efficient transportation options for business travelers across Africa.
With operations now officially underway, Tanzania is cementing its place in the aviation industry, showcasing its commitment to quality manufacturing and innovation.
As Tanzania soars to new heights, it stands as a beacon of progress and resilience!