Liverpool ametolewa, OFFER YA LEO ni 🔥🔥🔥🔥🔥
✅iphone 14ProMax 1,920,000/-
✅iphone 13ProMax 1,580,000/-
✅iPhone 12ProMax 1,350,000/-
✅iPhone 11 Plain 750,000/-
Offer ya 24Hrs tupigie 🤙🏾😎0658008666
@MagabashuK79320@mshambuliaji@hajismanara Unajua kuna kitu kinaitwa “Haki na wajibu”? Simba wana haki ya kufanya mazoezi ila pia walikuwa na wajibu wa kutoa taarifa! Sasa tuliaa akili usiongee kishabiki ili mimi nawewe tuongee
#UPDATES "Leo hii tulio wengi tunakula chakula kilichopo hatuli chakula kwa mahitaji ya mwili unavyotaka lakini hii yote ndo inapelekea utapiamlo na hii ndo inasababishwa na hali ya uchumi kuwa duni au umaskini, tumeongea hapa kuhusu watoto wachanga wanapokuwa kwenye mazingira ya uchanga tunategemea wazazi au mama awe karibu na mtoto mchanga, mtoto anapokuwa kwenye level ya primary school mpaka sekondari tunategemea atakuwa kwenye uangalizi wa wazazi ila anapotoka hapo nje kwenye society anategemea sisi jamii na serikali iingie kwa kina kuhakikisha tunawaangalia hawa vijana, hawa vijana wengi mtaani wamejiajiri ndio machinga, wafanyabiashara wadogo na walio wengi ni wa kiume wale wengi walio wakike tunashukuru serikali imefanya uwezeshaji wa kiuchumi na mpango wa kuendelea kuwawezesha wanawake"
Jesca Jonathan Msambatavangu, Mbunge wa Iringa Mjini akichangia kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 6 Leo Februari 6, 2025. #EastAfricaTV
Nilitaka kumuagiza mtu madera 30 kariakoo. Kwenye kunitajia bei kazidisha 1000 Tshs kwenye kila dera. Nia yangu ilikua nikimuagiza nimpe Laki moja ya Asante. I think hio 30k ilikua ya muhimu sana kwake kuliko laki nikaona niachane nae isiwe tabu. Tuwe waaminifu Jamani 😂😂