Mfundishe mwanao kwamba msaada ni FADHILA, sio HAKI yake. Akinyimwa asijenge chuki wala kinyongo moyoni
Hakuna kitu chochote kitakachowatokea kwa wale watu wataokaomnyima msaada
Mfundishe kutafuta cha kwake, kujituma, Mafanikio yanatokana na bidii sio huruma za watu