Lissu kaenda kuishtaki Tigo na Serikali ya Tanzania kwa Mahakama ya Mzungu na wakili mzungu then anarudi tena kuja kuomba uongozi kwenye nchi ile ile ambayo kaiweka mahakamani na kasema akishinda kesi anataka kukamata mali za Tanzania kama fidia. Yani nchi unayosema utaifisili kupitia mahakama za Uingereza hiyo hiyo ndo unatamani pia kuja kuwa kiongozi wake? Lissu kichwani yuko sawa kweli?
@privaldinho Awaite wazimbabwe wampambanie Feisal ni mTanzania ndio maana hukuona mzimbabwe anamsaidia Faila sufi... hata wewe unaweza Msaidia uyo Mzimbabwe
Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wetu Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mapema leo mjini Zanzibar.
Talks between Chelsea and Brighton for both Moisés Caicedo & Robert Sánchez took place also today. 🚨🔵 #CFC
Chelsea want to sign both, discussions between the two clubs continue while gap in valuations remain.
Sánchez, keen on the move.