Katika ufunguzi wa warsha Mkurugenzi IRCPT, Rev. Canon Thomas Goda ameelezea kuwa dhamira ya warsha nikuona vijana wanapata elimu ya uraia, uongozi na uzalendo na ushiriki wa vijana katika uchaguzi unaongezeka kwa kuhakikisha wanapiga, kupigiwa kura na kulinda amani ya nchi yetu.
Baraza la viongozi wa Dini mbalimbali kwaajili ya ujenzi wa amani Tanzania (IRCPT) imeandaa warsha ya siku 3 yenye lengo la kuwajengea uwezo vijana juu ya kudumisha amani kabla, ndani na baada ya uchaguzi pamoja na kuchukua nafasi ya kuomba ridhaa ya wananchi kuongoza.
Mkurugenzi wa IRCPT Rev. Canon Thomas Goda akielezea umuhimu wa mradi wa "Kujenga Amani Pamoja" na namna ambavyo viongozi wa Dini wanavyolazimika kuupokea na kushiriki katika utekelezaji wake ili kuhakikisha amani ya nchi yetu inadumu na vijana wanashirikishwa kamati za amani.
IRCPT kwa kusirikiana na taasisi ya We World wameandaa Warsha malumu ya kuutambulisha mradi wa "Kujenga Amani Pamoja" kwa kamati za Amani za mikoa ya Tanga na Mtwara ambapo mradi huo unatekelezwa ili kubaini maeneo muhimu yakuyafikia na mradi huu unaweza kujumuisha Vijana.
Toka kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya Amani Wilaya ya Lushoto Mch.Francis Kanisa la Anglican Lushoto, kulia ni Katibu wa kamati Ust. Muhammad Said Barut. Kwa pamoja wakishiriki uzinduzi wa upandaji miti ya asili katika kata 33 Wilayani Lushoto.
Afisa program na Mratibu wa mtandao vijana Mr. Ismail Sheha, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake wa imani TWIN Mama Edna Mdoe na Muwakilishi wa mtabdao wa vijana wa imani TYIN Ally Mrisho nao walipata fursa ya kushiriki kwenye warsha ya kutokomeza ndoa za umri mdogo/utotoni.
Mkurugenzi wa IRCPT Rev. Canon Thomas Goda alipokua akichangia mada juu ya namna gani jamii inaweza kushirikiana kwapamoja kutokomeza ndoa za umri mdogo/utotoni.
Watendaji Wakuu ndani ya Baraza la viongozi wa Dini mbalimbali kwaajili ya ujenzi wa amani Tanzania IRCPT leo wameungana na wadau mbalimbali katika warsha iliyolenga kufanya uchechemuzi kutokomeza Ndoa za umri mdogo/utotoni. Warsha hii ya siku 2 iliyoandaliwa na Taasisi ya GNRC.
The representative of Tanzania Women Interfaith Network (TWIN) from Dar es salaam Mama Dosca George in DADA'S ANNUAL FORUM 2024. Various topics were discussed about women empowerment.
IRCPT program officer Mr Marco Mgaza, Father Kitime from TEC and Dr Abdallah Tego from Muslim University of Morogoro (MUM) had round table meeting at Masaki for the introduction of new KAS desk manager of East Africa Ms. Alina Reib.
The East Africa youth representatives in International Inter-Religious Conference themed "Addis Ababa Declaration on Tolerance, Citizenship and Please". From the left is Mr. Ismail the Youth Coordinator of Tanzania, Namuganza the Youth Coordinator of Uganda and Ally from Tanzania
Kamati ya amani Mkoa wa Dar es salaam (Viongozi wa Dini) wakiwakilishwa na Sheikh wa Wilaya ya Kigamboni Shk. Abdallah wametoa shukurani zao za dhati kwa Mgeni Rasmi, na Wadau wote walio mstari wa mbele kuhakikisha watoto wa Taifa hili wanapata ustawi mzuri.