@TZMsemajiMkuu Yani niache kununua mahindi wanangu wale ninunue kitabu kinachozungumzia life lake. Si bora ninunue kitabu cha @YerickoNyerere cha #UjasusiwaKodola nipate madini ya mnavyotuburuza na mbinu za kimapinduzi.
#NipasheHabari NI mnyukano! Ndivyo mtu anavyoweza kuelezea kutokana na vuta nikuvute kati ya serikali na vyama vya upinzani kuhusu mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaoendelea sasa.
/https://t.co/O3uVS0uCjv
He predicted that unless Mr @MagufuliJP’s campaign of terror was checked “we are looking at Zimbabwe and all that entails — the complete breakdown of economy and society” @thetimes https://t.co/ZrsdXkJYYb https://t.co/p2U0M7ejGJ
#Ghana ina takribani mara mbili ya kiwango cha umeme inachohitaji hivyo kulazimika kuwalipa wazalishaji binafsi wa umeme TZS 1.04 trilioni kila mwaka, kwa kununua umeme ambao haiutumii. Waziri wa Fedha ameonya kuwa hasara hiyo itafikia 5% ya Pato la Taifa (TZS 29tril) mwaka 2023.
"Mchakato wa uchaguzi uanze upya kwa kuundwa kamati huru ya kusimamia uchaguzi chini ya Tamisemi itakayokuwa na wajumbe kutoka vyama vyote vya siasa. “ - Zitto Kabwe. Soma zaidi> https://t.co/GPB4dsvvUa
CCM na vibaraka wake wamekuwa wakifanya propaganda sana kwamba wapinzani ni wabinafsi na waroho wa madaraka. Kilichotokea #Zanzibar 2015 kufuta matokeo ya uchaguzi halali na kuitisha uchafuzi wa marudio 2016 na kinachofanyika sasa kwenye Serikali za Mitaa Bara kimewavua nguo CCM.