Kocha kawapeleka Robo Fainali CL
Kocha kawapa ubingwa wa Ligi
Kocha kawapa Ngao ya Hisani
Kocha kawapa changamoto walau mna uwanja wa tizi
Kocha kawapa Verification ya Twitter & Instagram
Kocha kawapa heshima Afrika
Kocha kawajengea Imani mashabiki
Kocha kaijenga simba kuwa tish
"NDIO, tumeshinda kwa kishindo katika vijiji vyote na vitongoji na kata zote, huu ni ushindi wa kishindo na niwa kihistoria kabisa kuwahi kutokea tangu tupate uhuru." Alichokosea Mfilipino ni kujaza fomu.
-Alisikika mlevi mmoja akisema.
“Hii Nchi ina amani tuilinde tusikubali ipotee, Mtu akikuambia kwamba anaweza kumwaga damu mwambie uko ni mbali mwaga tu mkojo uone kama atamwaga”- JPM
#JPMGEITA
"Kulikuwa na Vijiji 12,262 Mitaa 4,263, CCM imeshinda Vijiji 12, 260 sawa na asilimia 99.99, kimeshinda Mitaa 4,263 sawa na asilimia 100." - Waziri Jafo
#UchaguziSerikaliZaMitaa