Mimi zee la nyeti napenda kuwaambia account yangu kubwa iko hacked endeleeni kunifollow kupitia hii wakati naendelea kuorudisha ile Rt yako tafadhali ๐ข๐๐๐๐
Kaa kwa kutulia sasa.. Acha kuchezea mamlaka .. Nadhani umejifunza kuwa serikali na mamlaka siyo vitu vya kuchezea..
Haya endelea sasa na zile mbwembwe zako za PATACHIMBIKA,HAPATATOSHA HAPA,TUTAKINUKISHA ๐