Baada ya kupitia zaidi ya 70+ success stories za watu waliofanikiwa, kuna mambo 15 yamejirudia tena na tena… na haya yameanza kubadilisha maisha yangu.
Thread/Uzi🧵⤵️
Nunua Laptop yenye Uwezo 💻
Nunua WiFi.
Nunua smartphone yenye uwezo.
Kisha ondoka mjini nenda kijijini kajifungie huko Jifunze Mambo ya kuanzisha kampuni, Marketing, investment, digital Economy n.k.
Wakati huo fanya kilimo kidogo cha 🫛 🫘 🥔 🍠.
Jipe miezi 6, baada ya hapo
Mwanaume
Kama kuna mwanamke umekaa nae katika mahusiano
Na
Unahisi kuna namna unamuhitaji kwaajili ya kumfanya mke basi tembea na nguzo hizi.
1. Usimfanyie mambo ambayo hautoweza kumfanyia muda wote wa maisha utakapokuwa nae.
2. Kama yupo local, nenda nae hivyo hivyo usimu'Expose na mambo ya kisasa na kidunia.
3. Hakikisha haufanyi anavyotaka yeye, afanye mnavyotaka ninyi au unavyotaka wewe.
4. Anapotoa maoni juu ya jambo linalohusu maisha yenu, usifanye papo hapo hatakama ni zuri kiasi gani. Delay au usifanye kabisa ufanye kwa wakati mwingine.
5. Zingatia misingi yako na usimame kama mwanaume.
6. Hakikisha mambo yenu hayaendi nje ya bond yenu hata wakati wa uchumba.
7. Hakikisha unakuwa bora kwake mara dufu, yaani uwe kama mwalimu kwake.
8. Angalia matumizi yake ya pesa pamoja na reaction zake unapompa pesa kidogo.
9. Usimruhusu awe na uwezo wa kukuomba pesa kwa urahisi, aogope pesa yako.
10. Be open on how una make cash, act goal oriented na usiwe too available.
#TajiriLaKihaya
Kama Uliona ile Report ya Chande kuanzia mwanzo hadi mwisho…
Regardless of the reason…
Wewe Hushindwi kumuua mtu!
Binafsi sikufikisha dakika 10💔
MAN TO MAN
Kuna vitu vinne ambavyo ndiyo msingi wa maisha yako kama mwanaume, na ukivichezea vibaya, maisha yako yote yanaweza kuyumba bila wewe hata kutambua kuwa makini sana
1. MUDA WAKO. Huu ndiyo uhai wako wenyewe. Kila dakika inayopita hairudi tena. Ukimpa mtu muda wako, unampa sehemu ya maisha yako. Ndiyo maana usikubali kuupoteza kwa watu wasio na malengo, mazungumzo yasiyo na maana, au vitu visivyokujenga. Linda muda wako kama unavyolinda pesa zako.
2. UMAKINI WAKO. Kile unachokiangalia, kukisikiliza na kukifikiria kila siku, ndicho kinachounda maisha yako. Ukitoa umakini wako hovyo, unaishia kuishi maisha ya watu wengine badala ya yako. Jifunze kuchagua kwa makini ni nani na nini kinastahili nafasi kwenye akili yako.
3. KUJITOAKWAKO. Kujitoa si kitu cha mchezo. Ni nguvu yako, ni ahadi yako, ni uaminifu wako. Usijitoe kwa kila mtu au kila jambo linalopita. Mwanaume wa kweli anajua thamani ya kujitoa kwake, na anajitoa pale tu panapostahili kwa malengo yake, kwa familia yake, na kwa vitu vinavyojenga heshima yake.
4. NAFSI NA ROHO YAKO. Hiki ndiyo kiini chako halisi. Dunia itajaribu kukuvunja, kukubadilisha, na kukufanya uwe mtu usiyekuwa. Lakini mwanaume imara analinda nafsi yake. Anasimama kwenye misingi yake, hata kama ni peke yake.
Unachopaswa kufanya kuvithamini na Kuvilinda.
Kwa sababu mwisho wa siku, hivi ndivyo vinavyokutengeneza wewe kuwa mwanaume wa kweli.
In a telegram, Pope Leo XIV offers his condolences for the passing of Cardinal Polycarp Pengo, Archbishop Emeritus of Dar es Salaam, Tanzania.
https://t.co/MQAVvk1xvg