Mimi zee la nyeti napenda kuwaambia account yangu kubwa iko hacked endeleeni kunifollow kupitia hii wakati naendelea kuorudisha ile Rt yako tafadhali 😢🙏🙏🙏🙏
Kaa kwa kutulia sasa.. Acha kuchezea mamlaka .. Nadhani umejifunza kuwa serikali na mamlaka siyo vitu vya kuchezea..
Haya endelea sasa na zile mbwembwe zako za PATACHIMBIKA,HAPATATOSHA HAPA,TUTAKINUKISHA 😀