Ukiingiziwa Mshahara Bank Unakatwa,Ukienda kuitoa unakatwa, Ukishatoa unamtumia Mzazi wako, Unakatwa, Akienda kuitoa na yeye Anakatwa, Akienda kununua vitu Dukani analipia Kodi๐ค๐ค๐ค Tutabanwa kila Mahali mwisho tutakosa Pumzi tufe woteee
@bvrbvra Endeleeni na mipango mibovu, msimu ulopita tatizo lilikuw ni washambuliaji afu jana eti mnamuweka kyombo, bocco na dejan afu moses phiri nje daaah pia kapombe nje wakati mnajua kasi ya morrison kiukwel mnakera sana... Manzoki anaitaka simba nyie mnabania hela.
Thamani ya mtu siyo mtu mwenye thamani, unaweza ishi na mtu mwenye thamani mbele za watu na asiongeze value kwenye maisha yako. Lakini pia unaweza ishi na mtu wakawaida ndo akakupa thamani. So mtu mwenye thamani kwako ni yule anaekupa thamani.
OVER.